Februari 21, 1924, alizaliwa mpigania uhuru wa Zimbabwe
#KUMBUKUMBU Februari 21, 1924, alizaliwa mpigania uhuru wa Zimbabwe ambaye pia alikuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Gabriel Mugabe, anatimiza miaka 94.
Robert Mugabe ni miongoni mwa watu wachache kama sio pekee ambaye bado yupo hai, kwa viongozi wapigania uhuru wa Afrika na kuongoza nchi zao.
Comment chochote kumtakia heri kisha share na wana

No comments