BREAK NEWS

ALGERIA VS TANZANIA HUU HAPA MUDA KAMILI NA CHANNEL INAYOONESHA




Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kushuka dimbani leo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA dhidi Algeria
Kuelekea kwenye mchezo huo Tanzania itaitaji kucheza kwa tahadhali kubwa ili kuepuka kipigo kama ilichokipata mwaka 2015 cha magoli 7-0.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 20:00 za usiku kwa saa za hapa Tanzania na utaoneshwa na Channel ya ZBC inayopatikana kwenye kingamuzi cha Azam TV.

No comments