ALICHOKISEMA JERRY MURO BAADA YA KUHUDHURIA MECHI YA SIMBA DHIDI YA AL MASRY SC
TIZAMA ALICHOKISEMA JERRY MURO BAADA YA KUHUDHURIA MECHI YA SIMBA DHIDI YA AL MASRY SC
Baada ya kuhudhuria katika mtangange wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya
Simba Sc dhidi ya Al Masry SC, Afisa Habari wa zamani wa Young Africans, Jerry Muro, amesema kuwa si vema ushabiki ukasababisha kuondoka kwa uzalendo.
Jerry ameamua kuwa mfano wa wadau wa Yanga waliojitoa kwenda kuipa hamasa Simba katika mchezo ambao timu hizo zimeenda sare ya mabao 2-2.
Na kupitia ukurasa wake wa Instagram, Muro aliandika haya kwa uchache
No comments