BREAK NEWS

Hatimaye mwili kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai (65) umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao



##mshananews: Hatimaye mwili kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai (65) umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Humanikwa wilayani Buhera, Manicaland ambapo zaidi ya watu 5,000 wameshiriki mazishi yake. Tsvangirai alikutwa na mauti Februari 14 mwaka huu akiwa nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu ya saratani ya utumbo.

No comments