BREAK NEWS

Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema hatamuondoa Ikulu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kujiapisha kuwa rais



#mchomonews: Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema hatamuondoa Ikulu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kujiapisha kuwa rais wa watu lakini upinzani unataka mwezi Agosti, 2018 ufanyike uchaguzi mwingine wa marudio kwani uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba mwaka jana haukuwa halali.


No comments