BREAK NEWS

RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO JUMANNE YA FEBRUARY 20-2018



RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO JUMANNE YA FEBRUARY 20-2018
Ligi ya Mabigwa Barani Ulaya UEFA Champions League, inatarajiwa kuendelea leo Jumanne ya February 20 kwa hatua ya 16 bora.
Katika hatua hii tumeshuhudia timu 8 zikicheza michezo yao nyumbani huku zikitatajia kucheza michezo ya marudiano siku chache zizazo.
Leo Jumanne ya February 20 Mabingwa watetezi ligi kuu ya Uingereza Chelsea watakuwa Nyumbani kuwakaribisha Fc Barcelona ya Spain.
Na Mabingwa watetezi wa Ujerumani Buryen Munich watakuwa nyumbani kuwakaribisha Besiktas, katika hatua hiyo ya 16 bora.
Michezo hii yote itaanza majira ya saa 22:45 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki,

No comments