BREAK NEWS

Yanga inafanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Klabu Bingwa



CCL Yanga inafanikiwa kusonga mbele katika michuano ya  Klabu Bingwa Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa leo nchini Ushelisheli.


No comments