BREAK NEWS

Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe (MDC) kimemtangaza Nelson Chamisa kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu



#mchomonews: Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe (MDC) kimemtangaza Nelson Chamisa kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka huu. Chamisa ametangazwa kugombea nafasi hiyo baada ya Morgan Tsvangirai kufariki dunia.

No comments