BREAK NEWS

Chama tawala nchini China kimeunga mkono mipango ya kuondoa ukomo



Chama tawala nchini China kimeunga mkono mipango ya kuondoa ukomo katika mihula ya urais. Wajumbe wa chama hicho wanatarajiwa kuipitisha mapendekezo hayo na kumfanya Rais Xi Jin Ping kusalia madarakani maisha yake yote. Je nini mtazamo wako kuhusu hatua hii?

No comments