BREAK NEWS

HAWA HAPA WAAMUZI WA SIMBA SC VS STAND UNITED MARCH 02-2018



HAWA HAPA WAAMUZI WA SIMBA SC VS STAND UNITED MARCH 02-2018

Mchezo huo inatarajiwa kupigwa saa 16:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa.
Mwamuzi wa katikati atakuwa mwanamama Florentina Zabron kutokea Dodoma ,Mwamuzi msaidizi namba moja atakuwa ni Ferdinand Chacha wa Mwanza.
Mwamuzi msaidizi namba mbili atakuwa ni Mashaka Mandemwa kutoka Mwanza,mwamuzi wa akiba atakuwa ni Gelmina Simon wa Dar es Salaam na kamishna wa mechi atakuwa Peter Temu kutoka Arusha.

No comments