Kikosi cha timu ya Taifa Morocco U20 tayari kimewasili jijini Dar Es Salaam kwa michezo miwili ya kirafiki dhidi ya:
Tanzania (Ngorongoro Heroes) kesho Jumamosi Machi 17, 2018 na dhidi ya Msumbiji Machi 19, 2018.
Mechi zote zitachezwa uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam
No comments