BREAK NEWS

Kundi la Boko Haram limewaachia huru wasichana 105




#mchomonews: Kundi la Boko Haram limewaachia huru wasichana 105 kati ya 110 ambao liliwateka wakiwa shuleni kwenye mji wa Dapchi kaskazini mwa Nigeria mwezi uliopita.


No comments