#mchomonews: Korea Kusini imesema Korea Kaskazini imekubali kufanyika kwa mazungumzo ya juu tarehe 29 Machi kama sehemu ya maandalizi ya mkutano wa mwezi Aprili ambao utakutanisha viongozi wa mataifa hayo, Moon Jae-in na Kim Jong-un.
Kusini imesema Korea Kaskazini imekubali kufanyika kwa mazungumzo
Reviewed by Unknown
on
March 24, 2018
Rating: 5
No comments