BREAK NEWS

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amekabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Zahanati



#mchomonews: Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amekabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Zahanati Katika Kijiji cha Mloka na Nyaminywili wilayani Rufiji, mkoani Pwani.

Mgalu alitoa mifuko hiyo wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) inayotekelezwa katika Mkoa wa Pwani.

No comments