BREAK NEWS

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ametoa ahadi ya fedha kiasi cha sh. 100,000



#mchomonews: Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ametoa ahadi ya fedha kiasi cha sh. 100,000 kwa mtu atakayetoa taarifa na kuwafichua wafanyabiashara wanaoendelea kuuza pombe za viroba ambazo zilizopigwa marufuku na serikali.

No comments