#mchomonews: Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim amekataa kujiuzulu licha ya kukumbwa na kashfa ya matumizi ya pesa za msaada zilizotolewa na taasisi ya PEI kwa matumizi binafsi.
Wiki iliyopita Waziri Mkuu Pravind Jugnauth alitangaza kuwa rais huyo alikuwa amekubali kujiuzulu.
No comments