BREAK NEWS

TIZAMA Serikali imekipiga faini ya milioni 18 na kukifunga kwa siku 14 kiwanda cha kutengeneza mifuko ya viroba cha TASIPA



#mchomonews: Serikali imekipiga faini ya milioni 18 na kukifunga kwa siku 14 kiwanda cha kutengeneza mifuko ya viroba cha TASIPA kilichopo jijini Dar es Salaam kwa kukiuka sheria ya usalama na afya mahala pa kazi.

No comments