Taifa Stars itacheza dhidi ya timu ya taifa Algeria jijini Algiers Machi 22, 2018 na dhidi ya DR Congo Machi 27, jijini Dar Es Salaam.
Michezo yote hii miwili ya kirafiki itachezwa katika kalenda ya FIFA ya michezo ya kimataifa kwa timu za Taifa.
No comments