BREAK NEWS

YAHAYA ZAYD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AZAM KWA



YAHAYA ZAYD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AZAM KWA

Mshambuliaji kinda wa Azam Fc Yahaya Zayd amesheherekea vyema siku yake ya kuzaliwa kwa kuchaguliwa pia kuwa mchezaji bora wa mwezi January-February wa timu ya Azam.
Zayd ametimiza umri wa miaka 20 na tuzo aliyopewa inadhaminiwa na benk ya NMB.

No comments