BREAK NEWS

YANGA KUFANYA MKUTANO NAWANDISHI WA HABARI HIIBLEO



Klabu ya Yanga leo Jumanne ya March 20-2018 inatarajiwa kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari.
Mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa nane mchana mahali ni Makao Makuu ya klabu hiyo, mtaa wa Jangwani jijini Dar es salaam.

No comments