BREAK NEWS

Rais Magufuli ameteua Majaji 10, Naibu Mwanasheria Mkuu na Wakili Mkuu wa Serikali




Leo April 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo April 15, 2018 ameteua Majaji 10 wa Mahakama kuu ya Tanzania na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka.


No comments