🏆| #SportPesaSuperCup 🏟| Uwanja wa Afraha baada ya watani wao wa jadi kutolewa, @SimbaSCTanzania 🇹🇿 watavaana na @k_sharksfc 🇰🇪kwenye robo fainali ya #SportPesaSuperCup. 🏆| Robo Fainali 🗓| Juni 4, 2018 ⏱| Saa 9 mchana
No comments