Rais wa FIFA, Giovanni Infantiono ameishukuru Tanzania kwa kuandaa mkutano mkubwa wa FIFA katika kiwnago cha hali ya juu.
Aidha amesema ataendelea kushirikiana na uongozi mpya wa TFF katika kuleta maendeleo ya mpira wa miguu kwani wameonyesha kufanya vizuri japo kwa muda mfupi.
No comments