BREAK NEWS

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF), watoto milioni 2.6 hufariki dunia



#DewjiBlogNews: Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF), watoto milioni 2.6 hufariki dunia kila mwaka katika mwezi wa kwanza baada ya kuzaliwa na kati yao watoto milioni 1 hufariki siku wanayozaliwa.

No comments