BREAK NEWS

Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Roberto Mugabe ameutaka Umoja wa Afrika kuisaidia nchi hiyo kurejesha demokrasia



##mshananews: Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Roberto Mugabe ameutaka Umoja wa Afrika kuisaidia nchi hiyo kurejesha demokrasia na usalama katika hali ya kawaida. Amedai kwamba tangu alipoondoka madarakani hali ya nchi hiyo imekuwa mbaya.

No comments