BREAK NEWS

Waandamanaji nchini DR Congo wamesema kesho Jumapili watafanya maandamano



##mchomonews: Waandamanaji nchini DR Congo wamesema kesho Jumapili watafanya maandamano katika miji mbalimbali nchini humo kumshinikiza Rais Joseph Kabila kujiuzulu lakini pia kutowania urais mwishoni mwa mwaka huu.


No comments