BREAK NEWS

David de Gea jana aliokoa michomo 8 dhidi ya Sevilla



David de Gea jana aliokoa michomo 8 dhidi ya Sevilla, idadi kubwa kwa golikipa wa Manchester United katika Champions League tangu Edwin Van Der Sar alipofanya hivyo katika mchezo wa fainali ya Champions League vs Barcelona mwaka 2011.

No comments