BREAK NEWS

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi



#mshananews: Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Ijumaa tarehe 23 Februari, 2018 Mjini Kampala.



No comments