BREAK NEWS

Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko amesema anajivunia kufanya kazi chini ya Rais Dkt. John Pombe Maguful



##mshananews: Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko amesema anajivunia kufanya kazi chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani amekuwa ni kiongozi anayefanya maamuzi kwa wakati bila kuchelewa.

Amemtaja Rais Magufuli kama kiongozi mpenda haki, na msimizi madhubuti wa rasilimali za nchi hivyo maamuzi yake yamepelekea Taifa kwa sasa kufikia hatua ya kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

No comments