BREAK NEWS

Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma amewaagiza mahakimu wote nchini kutoa bure nakala za hukumu



#mchomonews: Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma amewaagiza mahakimu wote nchini kutoa bure nakala za hukumu kwa wananchi ili kurahisisha upatikanaji wa haki. Awali imekuwa ikilipiwa Sh10,000 kama gharama ya uandaaji wa nakala hiyo.

No comments