BREAK NEWS

Kamati ya Nidhamu ya TFF imemfungia mechi 5 na faini ya shilingi milioni 1 mchezaji wa Kagera Sugar, Juma Nyoso



#mchomonews: Kamati ya Nidhamu ya TFF imemfungia mechi 5 na faini ya shilingi milioni 1 mchezaji wa Kagera Sugar, Juma Nyoso baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga shabiki baada ya mechi yao dhidi ya Simba.

No comments