BREAK NEWS

Mahakama nchini Nigeria imemhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani mpiganaji wa kwanza wa kundi la Boko Haram,



#mchomonew: Mahakama nchini Nigeria imemhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani mpiganaji wa kwanza wa kundi la Boko Haram, Haruna Yahaya (35) kwa kuhusika na utekaji wa wasichana wa Chibok 276 mwaka 2014.

No comments