BREAK NEWS

Dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Yo-jong amewasili nchini Korea



Dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Yo-jong amewasili nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Olimpiki. Amekuwa mwanafamilia wa kwanza wa utawala wa Korea Kaskazini kutembelea Korea Kusini tangu mwaka 1953.


No comments