Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza kupata faida kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake miaka 12 iliyopita, taarifa ya mtandao huo imeeleza wamepata faida ya dola 91.1 milioni katika robo ya mwisho ya mwaka 2017 wakati robo ya mwisho ya mwaka 2016 walipata hasara ya dola 167.1 milioni.
No comments