BREAK NEWS

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kurejesha mali



 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kurejesha mali tisa kati ya 10 za Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU) ambazo zilichukuliwa kinyume cha taratibu na kuagiza watuhumiwa wachukuliwe hatua za kisheria.


No comments