#mchomonew: Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Zuma amefikia uamuzi huo kutokana na shinikizo kutoka kwa chama chake cha ANC kikimtaka ajiuzulu.
No comments