MCHOMONEWS
#mchomonews:Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamefanikiwa
kuchomoza na ushindi mujarabu wa mabao 4 – 1 dhidi ya Majimaji FC mchezo uliyopigwa jijini Dar es salaam.
Dakika ya 20 Papy Tshishimbi ndiye alifungua pazia la mabao baada ya kuipatia Yanga bao la kuongoza dhidi baada ya mchezaji wa Majimaji, Mpoki Mwakinyuke kuunawa mpira kwenye kumi na nane kisha kutolewa kwa kadi nyekundu na mwishoni kuongeza jingine dakika ya 83.
Dakika ya 29 Obrey Chirwa aliipatia Yanga bao la pili na kuifanya kuongoza mabao 2-0. Dakika ya 44 Emmanuel Martin aliifungia Yanga bao kwa shuti kali na kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 3-0.
Hata hivyo, Marcel Boniventure wa Majimaji bao lake lilikuwa la mkwaju wa penalti dakika ya 56 na kufanya matokeo kuwa 3-1. Tshishimbi alifunga pazia kwa kuitungua Majimaji bao la usiku na kufanya mchezo huo kuisha

No comments