#mchomonew: Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameendelea kushikilia msimamo wa kukataa kujiuzulu kwa kusema kwamba haoni sababu ya kufanya hivyo kwani hajatenda kosa lolote baya. Amesema chama chake hakimtendei haki kwani kinataka ajiuzulu bila kumpa sababu ya msingi.
No comments