#mchomonews: Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na ujumbe wa Mawaziri wawili kutoka Malawi na kuzungumza kuhusu uwezekano wa Malawi kupata gesi asilia kutoka Tanzania na uendelezaji wa pamoja wa Bonde la Mto Songwe kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo uzalishaji umeme.
No comments