#mchomonews: Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amekubali maombi ya kiongozi wa upinzani nchini humo Julius Malema kufanya mabadiliko ya tarehe ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma, sasa kufanyika Februari 15 badala ya Februari 22.
No comments