BREAK NEWS

Madaktari nchini India wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa uvimbe wa kilo 1.8



#mshananew: Madaktari nchini India wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa uvimbe wa kilo 1.8 kutoka kwa mwanaume wa miaka 31. Madaktari hao wamesema huenda uvimbe huo ukawa mkubwa zaidi kuwahi kutolewa kwenye ubongo wa binadamu.

No comments