BREAK NEWS

Mbunge Godbless Lema ameeleza kuwa diwani wa Chadema kata ya Namwawala mkoani Morogoro, Godfrey Luena ameuawa



#mchomonews: Mbunge Godbless Lema ameeleza kuwa diwani wa Chadema kata ya Namwawala mkoani Morogoro, Godfrey Luena ameuawa usiku huu akiwa nyumbani kwake kwa kukatwa na mapanga na watu wasiojulikana.

No comments