BREAK NEWS

Mahakama nchini Nigeria imewaachia huru watu 475 ambao walikamatwa wakihusishwa na kundi la Boko Haram,



#mchomonews: Mahakama nchini Nigeria imewaachia huru watu 475 ambao walikamatwa wakihusishwa na kundi la Boko Haram, sababu ya kuachiwa wengi wao ni kukosekana kwa uthibitisho wa uhusiano wao na kundi hilo.

No comments