BREAK NEWS

Mwili wa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai umewasili nchini humo tayari kwa mazishi



#mchomonews: Mwili wa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai umewasili nchini humo tayari kwa mazishi ambayo yatafanyika kesho Jumanne. Rais Emerson Mnangagwa amewataka wananchi kuungana kwa pamoja katika kipindi hiki cha majonzi.

No comments