BREAK NEWS

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi mkoani Simiyu



#mchomonews: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi mkoani Simiyu ambapo katika siku ya kwanza ya ziara yake ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za viongozi wa mkoa, na mradi wa maji Kiloleli ambao utafaidisha vijiji vitatu.


No comments