BREAK NEWS

Serikali ya Zimbabwe imesema italipia gharama za matibabu dola milioni 2 (Tsh. 4 bilioni) alizokuwa akidaiwa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe



#mchomonews: Serikali ya Zimbabwe imesema italipia gharama za matibabu dola milioni 2 (Tsh. 4 bilioni) alizokuwa akidaiwa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai aliyefariki dunia wakati akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.

No comments