BREAK NEWS

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kuchukua tahadhari za kukumbwa na mafuruko ambayo yatasababishwa na mvua za wastani



#mchomonews: Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kuchukua tahadhari za kukumbwa na mafuruko ambayo yatasababishwa na mvua za wastani na za masika ambazo zinatarajiwa kunyesha kuanzia mwanzoni mwa mwezi Machi hadi Mei mwaka huu.

No comments