BAADA ya Yanga kuichapa Majimaji mabao 4-1 pale Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam juzi Jumatano, wanachama na mashabiki wake wa mjini Arusha wamewatia ndimu wachezaji wakiwataka wasipunguze dozi ya mabao manne hadi kuhakikisha wanatetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
No comments