BREAK NEWS

KOCHA Mfaransa wa Simba, Pierre Lechantre, amefanya mabadiliko makubwa, lakini amekutana na jeuri ya nyota watatu waliogoma kutoka kikosi cha kwanza.



#mchomonews#:KOCHA Mfaransa wa Simba, Pierre Lechantre, amefanya mabadiliko makubwa, lakini amekutana na jeuri ya nyota watatu waliogoma kutoka kikosi cha kwanza.
Ipo hivi. Katika kikosi kilichocheza mechi za karibuni, ni nyota watatu tu waliokuwa kikosi cha kwanza msimu uliopita ndio wameendelea kuanza msimu huu.

No comments