BREAK NEWS

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo atawaapisha Mabalozi wawil



#mc# MCHOMONEWS: Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo atawaapisha Mabalozi wawili, Balozi Muhidin Mboweto atakayeiwakilisha Tanzania nchini Nigeria na Balozi Dkt. Wilbrod Slaa atakayeiwakilisha Tanzania nchini Sweden.

No comments